Kurasa

Jumamosi, 18 Februari 2017


MARAFIKI WA ELIMU GEITA WASHIRIKI VEMA KATIKA USAFI WA MAZINGIRA.

MARAFIKI WA ELIMU KUTOKA WILAYANI NA MKOANI GEITA WAMESHIRIKI KATIKA ZOEZI LA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA KITUO CHA AFYA KATORO KILICHOPO KATA YA KATORO WILAYANI NA MKOANI GEITA.
ZOEZI HILI LILIFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI YA TAREHE 28 JANUARI 2017
 HAMASA ILIFANYIKA NA UMUHIMU WA MARAFIKI WA ELIMU KWA JAMII UKAONEKANA. ZIFUATAZO NI PICHA KUONESHA BAADHI YA MATUKIO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni