KIKAO HIKO CHA VIONGOZI WA MTANDAO HUO KILIFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 16 MEI 2015 KATIKA KITUO CHA WALIMU KILICHOPO KATORO NJE KIDOGO YA MJI WA GEITA.
KATIKA KIKAO HICHO VIONGOZI HAO WALIONGOZWA NA MWENYEKITI WA MTANDAO HOU BWANA ALEX KADARAJA NA KATIBU BWANA SYLVESTER NYANDA
WAJUMBE WA KIKAO HICHO NI NDUGU AYUBU BWANAMADI AMBAYE PIA NI MRATIBU WA MTANDAO HUO MANSHA MATARO KATIBU MSAIDIZI WA MTANDAO NA NDUGU PATRIC MABULA.
KATIKA KIKAO HIKI RASIMU YA KWANZA YA KATIBA HIYO ILIPATIKANA NA TAYARI IPO KWENYE MAANDALIZI YA KUIKAMILISHA KATIKA HATUA AWALI ILI KUIPELEKA MKUTANO MKUU UNAOTEGEMEWA KUFANYIKA MWANZONI MWA MEI JUNI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni