kutoka Geita marafiki wa elimu wamefanikiwa kupewa mafunzo na mbinu mpya za kukuza na kuendeleza harakati zao kwa ufanisi
mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni na timu ya wafanyakazi toka shirika la HAKI ELIMU washiriki wa mkutano huo ambao ni wadau wa elimu wMeanza kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kujiimarisha kuleta mabadiliko ya elimu katika wilaya ya geita mjini na vijijini
mtandao huo ma marafiki unaoongoza na rafiki wa elimu Ayubu Bwanamadi tayari umeanza kwa kujitengenezea uongozi na kisha hivi karibuni watajikita katika shughuli za kijamii zikiwa na lengo la kuhamasisha mabadiliko ya elimu na kuifanikisha Geita kuwa mji utakao zalisha watoto walioelimika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni