Kurasa

Jumanne, 26 Mei 2015

RASIMU YA KATIBA YA MTANDAO

UONGOZI WA MTANDAO WA MARAFIKI WA ELIMU WILAYANI GEITA WAMEKUTANA KUJALIDI UANDAAJI WA RASIMU YA KATIBA YA MTANDAO HUO.
KIKAO HIKO CHA VIONGOZI WA MTANDAO HUO KILIFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 16 MEI 2015 KATIKA KITUO CHA WALIMU KILICHOPO KATORO NJE KIDOGO YA MJI WA GEITA.

KATIKA KIKAO HICHO VIONGOZI HAO WALIONGOZWA NA MWENYEKITI WA MTANDAO HOU BWANA ALEX KADARAJA NA KATIBU BWANA SYLVESTER NYANDA
WAJUMBE WA KIKAO HICHO NI NDUGU AYUBU BWANAMADI AMBAYE PIA NI MRATIBU WA MTANDAO HUO MANSHA MATARO KATIBU MSAIDIZI WA MTANDAO NA NDUGU PATRIC MABULA.

 
KATIKA KIKAO HIKI RASIMU YA KWANZA YA KATIBA HIYO ILIPATIKANA NA TAYARI IPO KWENYE MAANDALIZI YA KUIKAMILISHA KATIKA HATUA AWALI ILI KUIPELEKA MKUTANO MKUU UNAOTEGEMEWA KUFANYIKA MWANZONI MWA MEI JUNI
 

Jumatatu, 18 Mei 2015

MARAFIKI WA ELIMU WILAYA WAADHIMISHA WIKI YA ELIMU KWA HUZUNI



KIKUNDI CHA MARAFIKI WA ELIMU KATIKA CHUO CHA UFUNDI STADI NA HUDUMA GEITA KIMETEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA KALANGALALA ILIYOPO WILAYANI HAPO SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 15 MEI 2015 IKIWA NI KILELE CHA WIKI YA ELIMU KWA KUTUO SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA KUPATA TATIZO LA KUFIWA NA MWANAFUNZI WAO BAADA YA KUGOGWA NA GARI WAKIWA WANATOKA KATIKA MICHEZO NA WANAFUNZI WENGINE WAWILI WAKIWA HOSPITALINI NDANI YA WIKI YA ELIMU

Jumanne, 12 Mei 2015

marafiki wa elimu geita wajengewa uwezo

kutoka Geita marafiki wa elimu wamefanikiwa kupewa mafunzo na mbinu mpya za kukuza na kuendeleza harakati zao kwa ufanisi
mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni na timu ya wafanyakazi toka shirika la HAKI ELIMU  washiriki wa mkutano huo ambao ni wadau wa elimu wMeanza kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kujiimarisha kuleta mabadiliko ya elimu  katika wilaya ya geita mjini na vijijini 
mtandao huo ma marafiki unaoongoza na rafiki wa elimu Ayubu Bwanamadi tayari umeanza kwa kujitengenezea uongozi na kisha  hivi karibuni watajikita katika shughuli za kijamii zikiwa na lengo la kuhamasisha mabadiliko ya elimu na kuifanikisha Geita kuwa mji utakao zalisha watoto walioelimika
picha chache hapo chini zinaonyesha matukio ya mkutano huo