Kurasa

Alhamisi, 19 Machi 2015

MARAFIKI WA ELIMU

MARAFIKI WA ELIMU NI WANAJAMII WANAOJALI UBORA NA MAENDELEO CHANYA YA ELIMU KUANZIA NGAZI ZA FAMILIA HADI NGAZI YA TAIFA. LAKINI KWA UPANDE WA MARAFIKI WA ELIMU WA MWANGAZA GOMBERO WAO HUONA KUWA NI JAMII AMBAYO SIO TU KUJALI ELIMU LAKINI PIA KUJALI NJIA SAHIHI ZA KUTOLEA ELIMU, MATOKEO CHANYA YANAYO TOKANA NA ELIMU INAYO TOLEWA NA MATUMIZI SAHIHI YA ELIMU HIYO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni